Precision Air ilivyotolewa ziwani

HomeKitaifa

Precision Air ilivyotolewa ziwani

Ndege ya Precision air iliyopata ajali siku ya jumapili baaada ya kushindwa kutua kwenye Uwanja wa ndege wa Bukoba na kudondokea ziwa Victoria tayari imekwisha tolewa ndani ya maji. 

error: Content is protected !!