Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lampokea Majaliwa

HomeKitaifa

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lampokea Majaliwa

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lampokea Rasmi Kijana Majaliwa Jackson,Maagizo ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan ,yameshatekelezwa.

 

Majaliwa Jackson Samweli akiwa ofisi ya Jeshi la Zimamoto Kagera akipokelewa na Kamanda wa Mkoa Kamishna Msaidizi Mwandamizi Zablon Muhumha

error: Content is protected !!