Precision Air yazama ziwani

HomeKitaifa

Precision Air yazama ziwani

Ndege ya Shirika la Ndege la Precision Air, imeanguka ziwani mjini Bukoba, Mkoani Kagera asubuhi ya leo Novemba 6,2022.

Taarifa kutoka katika mtandao wa Jamiiforums zimedai kwamba ndege hiyo imeanguka ziwani, uokoaji wa abiria unaendelea. Abiria 23 kati ya 49 walikuwa wameshaokolewa.

Taarifa kwa kina zinafuata.

error: Content is protected !!