Rais Samia afanya utenguzi

HomeKitaifa

Rais Samia afanya utenguzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya utenguzi wa nafasi za Viongozi wafuatao:-

1. Bw. Reuben Ndiza Mfune, Mkuu wa Wilaya ya Mbarali;

2. Bw. Msongela Nitu Palela, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma, Mara;

3. Bw. Michael Augustino Matomora, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, Singida;

4. Bw. Linno Pius Mwageni, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Shinyanga; na

5. Bw. Sunday Deogratius Ndori, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa, Njombe.

Utenguzi huu ulianza tarehe 22 Januari, 2023.

 

 

error: Content is protected !!