Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1,082

HomeKitaifa

Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1,082

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 1,082 mambpo kati yao wafungwa 29 wameachiliwa huru leo Aprili 26,2024, wafungwa 20 waliohukumiwa adhabu ya kifo wamebadilishiwa adhabu ya kifo kuwa kifungo cha maisha, wafungwa 27 waliohukumiwa kifungo cha maisha wamebadilishiwa adhabu kuwa kifungo cha miaka 30 na wafungwa 1,006 wamepunguziwa adhabu zao na watabaki gerezani na kuendelea kutumikia sehemu ya kifungo kilichobaki.

error: Content is protected !!