Rais Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 1,548 kwa vigezo mbalimbali ambapo 22 kati yao wanaachiliwa huru tarehe 9 Disemba, 2024 na 1,526 wanabaki gerezani kumaliza sehemu ya kifungu kilichobaki baada ya kupewa msamaha huu.