Rais Samia azungumza na Waziri Mkuu wa China

HomeKimataifa

Rais Samia azungumza na Waziri Mkuu wa China

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na ujumbe aliombatana nao kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu (Premier) wa Jamhuri ya Watu wa China Li Kegiang mara baada ya kuwasili The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03 Novemba, 2022.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu (Premier) wa Jamhuri ya Watu wa China Li Keqiang mara baada ya kuwasili The People Great Hall, Beijing chini China tarehe 03 Novemba, 2022.

error: Content is protected !!