Rais Samia kufanya ziara Lindi

HomeKitaifa

Rais Samia kufanya ziara Lindi

Rais Samia Suluhu Hassan atafanya ziara ya kikazi mkoani Lindi ambapo pamoja na mambo mengine anatarajiwa kushiriki maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema wakati wa mbio za nyika zinazofanyika mkaoni hapo kama sehemu ya kuchangia Mfuko wa Udhamini Udhibiti Ukimwi (AIDS Trust Fund) nchini kuwa Rais Samia ataongoza sherehe hizo za Disemba Mosi, mkoani Lindi.

error: Content is protected !!