Rais wa Burundi mwenyekiti mpya wa EAC

HomeKimataifa

Rais wa Burundi mwenyekiti mpya wa EAC

Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amechukua rasmi nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kutoka kwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta aliyemaliza muda wake tangu ashike nafasi hiyo mwezi Februari, 2021.

Ndayishimiye amekabidhiwa kijiti katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha AICC wakati wa Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

 

error: Content is protected !!