Mama mzazi wa Don Jazzy afariki dunia

HomeBurudani

Mama mzazi wa Don Jazzy afariki dunia

Mama mzazi wa Mwimbaji, Mtayarishaji na mmiliki wa lebo kubwa ya Muziki Barani Africa Mavin Records Michael Collins Ajereh maarufu kana Don Jazzy, amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu ugonjwa wa saratani.

Taarifa ya kifo chake imetolewa na Don Jazzy kwenye ukurasa wake wa Instagram.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by ITS DON JAZZY AGAIN ? (@donjazzy)

error: Content is protected !!