HomeMagazeti

Ratiba ya mgao wa maji Dar kuanzia Oktoba 27 hadi 30, 2022

Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam(DAWASA) imetangaza Ratiba mgao wa huduma ya maji kwa wakazi wa Dar es Salaam kuanzia Alhamisi Oktoba 27, 2022 hadi Jumapili Oktoba 30, 2022.

error: Content is protected !!