Ruksa kusafirisha wanyamapori hai nje

HomeKitaifa

Ruksa kusafirisha wanyamapori hai nje

Wizara ya Maliasili na Utalii Tanzania imetangaza kuruhusu usafirishaji wa Wanyamapori hai nje ya nchi kwa Wafanyabiashara waliokuwa na Wanyamapori wakati zuio la Serikali la kusafirisha Wanyamapori hai nje ya nchi lilipotolewa mwaka 2016.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Tawa Tanzania (@tawa_tanzania)

error: Content is protected !!