Ruzuku yazidi kushusha bei ya mafuta

HomeKitaifa

Ruzuku yazidi kushusha bei ya mafuta

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA),imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli nchini, bezi hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano,Novemba 02, 2022 saa 6:01 usiku.

Cap Prices Publication wef 2 November 2022 Kiswahili

 

error: Content is protected !!