Tathmini ya ziara za Rais Samia Suluhu

HomeKimataifa

Tathmini ya ziara za Rais Samia Suluhu

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus, ametoa na kueleza dondoo za tathmini ya ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini Uganda na Marekani.

Rais Samia Suluhu Hassan alienda nchini Uganda na kukutana na Rais Yoweri Museveni na kufanya ziara ya siku mbili kuanzia tarehe 10-11 Mei na pia alikwenda nchini Marekani Aprili 14-26 mwaka huu 2022.

PRESSER ZIARA ZA UGANDA NA MAREKANI PIA ROYAL TOUR (1)

 

 

 

error: Content is protected !!