Bongo Spider Man: Bora niache

HomeBurudani

Bongo Spider Man: Bora niache

Mchekeshaji Jackie maarufu kama Bongo Spider Man, amefunguka na kusema anaacha ubunifu wake wa kuchekesha kama spider man baada ya kuzuka kwa taarifa za uongo juu yake zilizomfikia mama yake mzazi jambo ambalo hakufurahishwa nalo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Bongo Spiderman amesema ameanza kupokea dhihaka na maneno ya kuvunjishwa moyo kwa muda mrefu lakini kilichomuumiza zaidi ni mama yake kulia na kuhuzunika juu ya taarifa hizo zisizo za kweli kama asemavyo.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by BONGO SPIDERMAN (@jackie8_)

 

 

 

error: Content is protected !!