Diamond kununua ‘Jet’ 2022

HomeBurudani

Diamond kununua ‘Jet’ 2022

Msanii Diamond Platnumz amewaambia mashabiki wake kwa kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa ana mpango wa kununua ‘Private Jet’ yaani ndege binafsi kabla ya mwaka huu (2022) kuisha.

Katika post aliyoirusha mtandaoni kumtakia heri ya kuzaliwa meneja wake Sallam SK, Nasibu Abdul amesema mwaka jana alinunua gari mpya kabisa (kilometa 0) aina ya Rolls Royce na mwaka huu ni wakati wa kununua ndege.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by SIMBA..!? (@diamondplatnumz)

Diamond ameongezea kuwa mafanikio hayo ni matokeo ya kuwa na “menejimenti nzuri.”

error: Content is protected !!