Shmurda kutoshiriki ngono miezi 6

HomeElimu

Shmurda kutoshiriki ngono miezi 6

Rapa maarufu duniani Bobby Shmurda amepata tatizo kwenye uume wake lililopelekea rapa huyu kupewa masharti makali na daktari wake. Bobby ameambiwa asifanye ngono kwa muda wa miezi sita mpaka atakapo pona tatizo hilo ambalo linatajwa kusababishwa na mwanamke mwenye urembo kwenye ulimi wake kutembelea eneo hilo nyeti la Bobby.

Kwenye Twitter Bobby aliandika ‘Hata ongea tena na mabinti wenye pete kwenye ulimi’

 

error: Content is protected !!