Soma hapa PGO ya Jeshi la Polisi Tanzania

HomeElimu

Soma hapa PGO ya Jeshi la Polisi Tanzania

Jeshi la Polisi linaongozwa na kanuni (Police General Order) ambazo zinatoa mwongozo katika utendaji wao wa kila siku. Majadala mkubwa kuhusu PGO umeibuka katika kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu.

Hapa chini ni kanuni hizo ambazo polisi wanapaswa kuzingatia, lakini pia ni muhimu kwa raia kuzifahamu ili kuhakikisha haki zao hazikiukwe.

Police General Order
error: Content is protected !!