Tamko la Jukwaa la Wanawake Wakurugenzi wa Asasi za Kiraia nchini Tanzania la kukemea vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake viongozi mitandaoni wanaofanyiwa ikiwemo Halima Mdee na wenzake 18 pamoja na Spika Tulia Ackson.