Tag: habari kubwa za michezo
Sekta ya Mawasiliano inazidi kukua nchini
Kutokana na Hotuba ya Wazari wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, iliyosomwa na Waziri Nape Nnauye imeonesha kuwa Sekta ya Mawasiliano imee [...]
Ukweli kuhusu mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo
Na Hamza Karama, Kariakoo DSM
Kwa ufupi
Wafanyabiashara wakubwa wakwepa kodi tangu enzi za Awamu ya Nne watajwa kuwa chanzo cha mgomo.
Maamuz [...]
Serikali yaweka mambo shwari Kariakoo
Hatimaye mgomo wa wafanyabiashara wa Soko la kimataifa la Karikoo wasitishwa mara baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutoa maagizo matano yaliyoleng [...]
Serikali yasikia kilio cha wafanyabiashara K/koo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kukutana na kamati ya wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo, Mawaziri wa sekta husika na Mamlaka ya Mapato Tanzan [...]

Rais Samia: Membe alipenda maendeleo ya wananchi
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kifo cha aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Benard Membe, kimeacha pengo kubwa kwa familia, Wat [...]
Membe afariki dunia
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhe.Bernard Kamilius Membe, amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam [...]
TAMISEMI: Waziri Dugange hajajiuzulu
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imesema Naibu Waziri wa Ofisi hiyo anayeshughulikia Afya Dk Festo Dugange hajajiuzulu wa [...]
Rais Samia apewa maua yake na klabu ya Seattle Sounders Marekani
Mashabiki takribani 31,620 waliohudhuria mechi ya Ligi Kuu ya Soka ya Marekani na mamilioni zaidi duniani waliokuwa wakitazama “live” mechi ya Seattle [...]

Rais Samia aanza mchakato wa kupata Katiba Mpya
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhes. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi, kuitisha kikao maalum cha Baraz [...]
Waziri Ummy: Covid-19 sasa sio ugonjwa wa dharura
Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu ametoa taarifa leo kuhusu hali ya ugonjwa wa Uviko-19 (Covid-19).
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter, Waz [...]

