Waziri Ummy: Covid-19 sasa sio ugonjwa wa dharura

HomeKitaifa

Waziri Ummy: Covid-19 sasa sio ugonjwa wa dharura

Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu ametoa taarifa leo kuhusu hali ya ugonjwa wa Uviko-19 (Covid-19).

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter, Waziri Ummy ameandika kuwa sasa ugonjwa huo sio wa dharura wa afya ya jamii kama ambavyo Mkuu wa Shirikia la Afya Duniani alivyotangaza.

 

error: Content is protected !!