Tag: habari kubwa za michezo
Serikali yaongeza posho za safari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameendelea kuupiga mwingi kwa kutoa kibali cha kurekebisha posho ya kujikimu ya safar [...]
Magazeti ya leo Mei 27,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Mei 27,2022.
[...]
Mshindi wa ‘Nobel Prize’ arejea Zanzibar
Mshindi wa Tuzo ya Fasihi ya Nobel 2021 Prof. Abdulrazak Gurnah ameitikia wito wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein M [...]
Vijana 100 wapewa mtaji wa nguruwe
Vijana 100 kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wamepewa msaada wa nguruwe 100 na halmashauri hiyo ikishirikiana na mradi wa Youth Ag [...]
Mwendokasi 1,500
Wakati Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) ikitarajia kufanya mabadiliko ya nauli kwa mabasi yaendeyo haraka maarufu mwendokasi, Wakala wa [...]
Sababu ya Rais Samia kuelekeza tuzo kwa Magufuli
Licha ya kupata tuzo ya heshima kuhusu ujenzi wa barabara barani Africa, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameelekeza tuzo hiyo kwa mtangulizi wake [...]
Rais Samia afanya uteuzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi kama ifuatavyo:-
a) Amemteua Bi. Sauda Kassim Msemo k [...]
Magazeti ya leo Mei 26,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Mei 26,2022.
[...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 26, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Mtwara wang’oa vibao vya anuani za makazi
Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani imeeleza kusikitishwa na vitendo vya baadhi ya wananchi vya kung’oa vibao vya anuani ya makazi.
Kufuati [...]

