Tag: habari kubwa za michezo

1 79 80 81 82 83 123 810 / 1222 POSTS
Watangazaji walazimika kuficha sura

Watangazaji walazimika kuficha sura

Sheria mpya ya viongozi wa Taliban nchini Afghanistan imewalazimisha waandishi wa habari na watangazaji wanawake kuziba nyuso zao wanapoonekana kwenye [...]
Sababu ya Mbunge kuruka sarakasi bungeni

Sababu ya Mbunge kuruka sarakasi bungeni

Mbunge wa Mbulu Vijijini (CCM) Flatei Massay ameruka sarakasi bungeni ikiwa ni kuonyesha msisitizo wa hoja yake kuwa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imek [...]
Zuchu apata ajali

Zuchu apata ajali

Msanii wa muziki wa bongo fleva kutokea lebo ya WCB, Zuchu amepata ajali iliyomsababishia majeraha katika goti lake. Kupitia ukurasa wake wa Instag [...]
Jinsi ya kunywa pombe

Jinsi ya kunywa pombe

Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imezindua tovuti inayoelimisha jamii kuhusu unywaji wa pombe wa kistaarabu ambayo ipo kwa lugha ya kiingereza na kis [...]
Lissu na Lema nchini

Lissu na Lema nchini

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu na Mjumbe wa kamati Kuu ya Chama hicho, Godbless Lema wametangaza kuwa w [...]
Sababu za watumishi kukosa nidhamu

Sababu za watumishi kukosa nidhamu

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kukosekana kwa mafunzo ya kada mbalimbali za utumishi wa umma ni miongoni mwa sababu zinazochangia kutet [...]
Tanzania 10 bora uvutaji bangi Afrika

Tanzania 10 bora uvutaji bangi Afrika

Ripoti ya hivi majuzi kuhusu matumizi ya tumbaku kutoka kwa kikundi cha kampeni ya afya ya umma na wasomi wa Marekani imegundua kwamba viwango vya uvu [...]
Magazeti ya leo Mei 21,2022

Magazeti ya leo Mei 21,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Mei 21,2022. [...]
Spika Tulia, Mdee na wenzake wakingiwa kifua na WiLDAF

Spika Tulia, Mdee na wenzake wakingiwa kifua na WiLDAF

Tamko la Jukwaa la Wanawake Wakurugenzi wa Asasi za Kiraia nchini Tanzania la kukemea vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake viongozi mitandaoni wanaof [...]
Magazeti ya leo Mei 20,2022

Magazeti ya leo Mei 20,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Mei 20,2022. [...]
1 79 80 81 82 83 123 810 / 1222 POSTS
error: Content is protected !!