Tag: habari magazetini

Msisitizo wa Rais Samia kuhusu umoja na muungano wa taifa
Wadau wamebaini kuwa wito wa mara kwa mara wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kukuza umoja na kudumisha amani unakuja wakati muhimu ambapo Tanzania imeona [...]
Rais Samia awaeleza viongozi wa Afrika njia ya kuwasaidia vijana
Rais Samia Suluhu Hassan amesema njia pekee ya kuwa na vijana watakaosaidia kulijenga taifa lenye maendeleo kwa siku za mbeleni ni kuwekeza kwenye mta [...]
Mapendekezo matatu yakuboresha rasilimali watu Afrika
Makamu wa Rais wa Tanzania Dk. Philip Isdor Mpango ametoa mapendekezo matatu yatayosaidia kuimarisha uwezo wa rasilimali watu barani Afrika ikiwemo ta [...]
Tanzania na Hungary kuangazia usawa wa kijinsia
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema serikali yake inalitizama kwa jicho la tatu suala la usawa wa kijinsia na kuwainua wanawake katika jamii.
Rais Sam [...]
Dk. Kikwete akoshwa na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan
Rais Mstaafu wa Awamu ya Sita, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayoifanya ya kuhakikisha Tanzania ina [...]
Rais Samia : jicho la serikali lipo wizara ya mipango na uwekezaji
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema sasa jicho la Serikali lipo katika wizara mpya iliyoundwa ya Mipango na Uwekezaji ambapo itakuwa na majuk [...]
Mbunge wa Mbarali afaraki dunia
MBUNGE Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya, Francis Mtega amefariki dunia.
Taarifa iliyotolewa na Bunge leo Julai Mosi, 2023 inasema kuwa Mtega amepata a [...]
Rais Samia apongezwa na USAID kwa mageuzi ya kiuchumi na kidemokrasia
Msimamizi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID), Bi. Samantha Power, amekiri azma ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kukuza mageuzi [...]
Jaji Feleshi akemea lugha za kibaguzi mjadala wa bandari
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, amejitosa kwenye mjadala wa uwekezaji wa kampuni ya Dubai ya DP World unaotarajiwa kufanywa k [...]
China yaahidi kuwekeza sekta ya nishati Tanzania
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Mfuko wa Uwekezaji wa China Africa Development Fund (CADFUND) umeonesha nia ya kuwekeza Tanzania katika sek [...]

