Tag: habari magazetini

1 21 22 23 24 25 99 230 / 989 POSTS
Maboresha katika Bandari ya Tanga yaanza kuleta matunda

Maboresha katika Bandari ya Tanga yaanza kuleta matunda

Bandari ya Tanga kwa mara ya kwanza imepokea meli ambayo imebeba mzigo wa magari pamoja na shehena nyingine za mizigo kutoka nchini China. Meli hiy [...]
Zaidi ya Sh. Bilioni 100 kuboresha vyuo vya ufundi stadi

Zaidi ya Sh. Bilioni 100 kuboresha vyuo vya ufundi stadi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inawekeza zaidi ya Sh bilioni 100 kwa ajili ya kuboresha elimu kwenye vyuo vya ufundi na stadi mbal [...]
Magazeti ya leo Machi 11,2023

Magazeti ya leo Machi 11,2023

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Machi 11,2023. [...]
Maboresho Bandari ya Tanga yamkosha Balozi wa Rwanda nchini

Maboresho Bandari ya Tanga yamkosha Balozi wa Rwanda nchini

Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Meja Jenerali Charles Karamba amefanya ziara ya kutembelea Bandari ya Tanga. Lengo la ziara hiyo pamoja n [...]
Suala la wabunge 19 tuiachie mahakama

Suala la wabunge 19 tuiachie mahakama

Rais Samia Suluhu Hassan amesema hawezi kuingilia kati suala la Wabunge 19 wanaodaiwa kuwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kutaka ma [...]
Magazeti ya leo Machi 8,2023

Magazeti ya leo Machi 8,2023

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Machi 8,2023. [...]
DC Iringa awataka kina mama kuachana na ‘vibenteni’

DC Iringa awataka kina mama kuachana na ‘vibenteni’

Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Verronica Kessy amewaonya akina mama (wanawake watu wazima) wanaojihusisha kimapenzi na wavulana wadogo (vibenteni) akisema [...]
Magazeti ya leo Machi 6,2023

Magazeti ya leo Machi 6,2023

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Machi 6,2023. [...]
Rais Samia aridhia waliovamia eneo la Uwanja wa KIA kulipwa fidia

Rais Samia aridhia waliovamia eneo la Uwanja wa KIA kulipwa fidia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema serikali itawalipia fidia wale wote waliovamia eneo la Uwanja wa Ndege wa Ki [...]
Bodaboda Arusha wamjibu Lema kuwaita ‘wakimbiza upepo’

Bodaboda Arusha wamjibu Lema kuwaita ‘wakimbiza upepo’

Uongozi wa Umoja wa Bodaboda wilayani Arusha (UBOJA) wamelaani kauli iliyotolewa na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini  (Chadema), Godbless Lem [...]
1 21 22 23 24 25 99 230 / 989 POSTS
error: Content is protected !!