Tag: habari magazetini
Rais Samia atunukiwa tuzo ya Kiongozi Bora AFRIMMA 2022
Waandaji wa tuzo za AFRIMMA wamemtunukua Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan tuzo ya Uongozi Bora kwa mwaka 2022 kutokana na mchango wake katika ku [...]

Serikali kufanya mabadiliko ya Sera yake
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kutokana na mabadiliko ya kiuchumi duniani, Serikali itafanya mapitio ya Sera yake ya mambo ya nje iliyodumu kwa miak [...]
Ujerumani yaipatia Tanzania msaada wa Bil.209
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Ujerumani wameipata Tanzania msaada wa Shilingi bilioni 209,746,204,779.00 kwa ajili ya masua [...]
Magazeti ya leo Novemba 18,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Novemba 18,2022.
[...]
SIMBA SC: Muharami hakuwa muajiri wetu
Uongozi wa Klabu ya Simba umesema kocha wa makipa Muharami Said Mohammd ‘Shilton’ aliyekamatwa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya [...]
Amuua kikatili na kisha kumla nyama
Mkazi wa Kitongoji cha Chang’ombe, Kijiji cha Kaloleni wilayani Songwe, Berta Shugha (69) ameuawa kikatili na mwili wake kukatwa vipande vipande huku [...]
Magazeti ya leo Novemba 15,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Novemba 15,2022.
[...]
Magazeti ya leo Novemba 14,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Novemba 14,2022.
[...]
Watahiniwa 566,840 kidato cha nne kuanza mtihani kesho
Jumla ya watahiniwa 566,840 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kidato cha nne utakaoanza kesho Novemba 14, 2022 Tanzania Bara na Zanzibar.
Kaimu Mtend [...]
Lady Jaydee kusimama na Rais Samia
Rais Samia Suluhu Hassan, amepongezwa kwa kuleta suluhu nchini Tanzania kwa kuwaunganisha Watanzania bila kujali itikadi zao, dini au jinsia katika ku [...]

