Ujerumani yaipatia Tanzania msaada wa Bil.209

HomeKitaifa

Ujerumani yaipatia Tanzania msaada wa Bil.209

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Ujerumani wameipata Tanzania msaada wa Shilingi bilioni 209,746,204,779.00 kwa ajili ya masuala mbalimbali ya kijamii na nchi kwa ujumla.

Kupitia ukurasa wake wa mtandano wa twitter, Waziri Nchemba alisema tayari majadiliano yameshakamilika na wameahidi kutumia fedha hizo kwenye maeneo yaliyokusudiwa.

error: Content is protected !!