Harmonize anaendelea alipoishia

HomeBurudani

Harmonize anaendelea alipoishia

Harmonize bado anaendelea na safari yake ya kuomba msahama kwa aliyewahi kuwa mpenzi wake, Kajala Masanja kwa kumnunulia magari mawili aina ya Range Rover ambayo tayari yamefika nchi na yapo nyumbani kwa msanii huyo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Harmonize ameweka video anayozungumzia kujutia makosa aliyoyafanya na hivyo kuomba msamaha kwa muigizaji huyo.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by KONDEBOY (@harmonize_tz)

 

error: Content is protected !!