Rais Samia atajwa kama kiongozi bora na hodari Afrika

HomeKitaifa

Rais Samia atajwa kama kiongozi bora na hodari Afrika

Rais wa @AfDB_Group Mhe. @akin_adesina amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia vyema mkakati wa matumizi ya nishati safi ya kupikia Afrika.

Kupitia ukurasa wake wa twitter (X) Rais Adesina amemtaja Rais Samia kama kiongozi hodari.

Ikumbukwe hivi karibuni Rais Samia Suluhu alikuwa Mwenyekiti mwenza katika  Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Afrika ambapo aliwasilisha vyema mpango wa kuhakikisha kunaongezeko la matumizi ya nishati safi ya kupikia Afrika.

error: Content is protected !!