Tag: habari magazetini

1 35 36 37 38 39 99 370 / 989 POSTS
Magazeti ya leo Oktoba 20,2022

Magazeti ya leo Oktoba 20,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Oktoba 20,2022. [...]
Wamshukuru Rais Samia kwa kufanyiwa upasuaji

Wamshukuru Rais Samia kwa kufanyiwa upasuaji

Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, imefanya upasuaji rekebishi kwa mama Helena Hungoli na mtoto wake Safari Bidale wakazi wa mkoa wa Manyara ambao walim [...]
Wapata majisafi baada ya miaka 50

Wapata majisafi baada ya miaka 50

Wananchi wa kijiji cha Namatumu Kata ya Malika Halmashauri ya Mji Masasi mkoani Mtwara, wamesema Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA [...]
Rais Samia anavyoifungua Kigoma kwa kuboresha Bandari ya Kibirizi

Rais Samia anavyoifungua Kigoma kwa kuboresha Bandari ya Kibirizi

Dhamira ya kuurudisha Mkoa wa Kigoma kuwa kitovu cha biashara inaendelea kufanikishwa na Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuweka jiwe la Msingi la Up [...]
Rais Samia aiwasha Kigoma

Rais Samia aiwasha Kigoma

Rais Samia Suluhu Hassani jana Oktoba 17,2022  amezima umeme uliokuwa unatumia jenereta na kuwasha umeme wa gridi ya Taifa na kuwataka wananchi kutunz [...]
Ajinyonga kisa kunyimwa mshahara

Ajinyonga kisa kunyimwa mshahara

Ofisa Muuguzi (II) wa Hospitali ya Taifa Muhimbili- Mloganzila, Dar es Salaam, Sarwat Soluwo amedaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kilichodaiwa mateso ali [...]
Magazeti ya leo Oktoba 17,2022

Magazeti ya leo Oktoba 17,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Oktoba 17,2022. [...]
Jeshi la Polisi laanza kuichunguza Kalynda

Jeshi la Polisi laanza kuichunguza Kalynda

Jeshi la Polisi limeanza kuchunguza tuhuma za utapeli kwa njia ya mtandao dhidi ya kampuni ya Kalynda e-Commerce. Msemaji wa Jeshi la Polisi SACP D [...]
Magazeti ya leo Oktoba 15,2022

Magazeti ya leo Oktoba 15,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Oktoba 15,2022. [...]
Rais Samia awapa maagizo mazito kwa TAKUKURU na ZAECA

Rais Samia awapa maagizo mazito kwa TAKUKURU na ZAECA

Rais  Samia Suluhu Hassan ameziagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) na Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzib [...]
1 35 36 37 38 39 99 370 / 989 POSTS
error: Content is protected !!