Tag: habari za burudani
Magazeti ya leo Februari 16,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Februari 16,2023.
[...]
Fahamu vitabu vilivyopigwa marufuku kutumika shuleni
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vya ziada kutumika katika shule za umma na binafsi [...]
Rais Samia ahimiza utekelezaji wa miradi ya umeme
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezitaka taasisi za Serikali au binafsi pamoja na mashirika kuacha urasimu katika utekelezaji wa miradi ya umeme [...]
Magazeti ya leo Februari 14,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Februari 14,2023.
[...]
Fahamu kuhusu meli ya Mv. Mwanza
Hatimaye Serikali imefanikiwa kuishusha majini meli mpya itakayokuwa ni kubwa kuliko zote ndani ya Victoria ya Mv.Mwanza “Hapa kazi tu” baada ya ujenz [...]
Magazeti ya leo Februari 13,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Februari 13,2023.
[...]
14 wakamatwa kwa tuhuma za kupora katika ajali Tanga
Jeshi la Polisi, Mkoa wa Tanga limewakamata watu 14 ambao wanatuhumiwa kufanya uporaji katika ajali iliyohusisha vifo vya watu 20 na majeruhi 12 iliyo [...]
Bil 2.6 zalipwa na NSSF kwa vyeti feki
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jmaii (NSSF) imetumia Sh bilioni 2.6 kuwalipa watumishi 183 waliofutiwa ajira kwa kukutwa na vyeti feki.
Taarifa hiyo [...]
Lita 910 zingine za dizeli SGR zakamatwa
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi amesema wamefanikiwa kukamata lita 910 za mafuta aina ya dizeli yanayotumika katika mradi wa Reli [...]
Magazeti ya leo Februari 6,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Februari 6,2023.
[...]

