Tag: habari za burudani
Magazeti ya leo Novemba 23,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Novemba 23,2022.
[...]
Rais Samia atoa milioni 70 kuisaidia Doris Mollel Foundation
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amechangia Tsh. Milioni 70 kwa Doris Mollel Foundation, ambapo Tsh. Milioni 20 ameitoa kuw [...]

Serikali kufanya mabadiliko ya Sera yake
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kutokana na mabadiliko ya kiuchumi duniani, Serikali itafanya mapitio ya Sera yake ya mambo ya nje iliyodumu kwa miak [...]
Bei elekezi za gesi asilia kwa ajili ya magari
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) inakamilisha mchakato wa kuanza kutoa bei elekezi za gesi asilia kwa ajili ya matumizi ya magari.
Pi [...]
Ujerumani yaipatia Tanzania msaada wa Bil.209
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Ujerumani wameipata Tanzania msaada wa Shilingi bilioni 209,746,204,779.00 kwa ajili ya masua [...]
Magazeti ya leo Novemba 17,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Novemba 17,2022.
[...]
SIMBA SC: Muharami hakuwa muajiri wetu
Uongozi wa Klabu ya Simba umesema kocha wa makipa Muharami Said Mohammd ‘Shilton’ aliyekamatwa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya [...]
Magazeti ya leo Novemba 15,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Novemba 15,2022.
[...]
Wanaotupa taka wazomewe
Mhe. Amos Makalla amesema licha ya uwepo wa sheria na kanuni za kuwadhibiti wachafuzi wa Mazingira hususani wanaotupa taka hovyo ni vyema pia ikae [...]
Helikopta kutua Mlima Kilimanjaro
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imesema imeridhishwa na miundombinu ya utalii ikiwemo viwanja vya kutua helikopta katika Hifad [...]

