Tag: habari za burudani
Uteuzi Ngorongoro
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amefanya uteuzi wa wajumbe wa Bodi Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro.
[...]
Wadau wa Bandari waomba TICTS isiongezewe mkataba
Kampuni ya Kimataifa ya huduma ya Kontena Tanzania (TICTS) inadaiwa kushindwa kutekeleza makujukumu yake na wadau wa sekta za biashara na usafirishaji [...]
Alikua anajaribu kupita magari 8
Abiria 41 waliokuwa wakisafiri na basi la Happy Nation wakitokea Dar es Salaam kuelekea Mwanza, wamenusurika katika ajali baada ya basi lao kugongana [...]
Nafazi za kazi Jeshi la Polisi
Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Regional Centre on Small Arms (RECSA) linatangaza nafasi za kazi kama zifuatazo.
  [...]
Rais Samia afanya uteuzi TAWA na TALIRI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi ufuatao;
[...]
Magazeti ya leo Julai 20,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Julai 20,2022.
[...]
Mvua kunyesha hadi mwezi Agosti
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imesema hali ya mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo ya Pwani ikiwemo jijini Dar es Salaam zitaendelea hadi [...]
Iringa, Mbeya na Njombe baridi yafika 4°C
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imesema kwamba hali ya baridi itaendelea kuwepo ambapo katika mikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya baridi inatarajiw [...]
Kagongwa kupata umeme
Waziri wa Nishati, January Makamba amemuagiza Meneja wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga Mhandisi Grace Ntungi kuhakikisha ndani ya wiki mbili kuanzia jana J [...]
Kuandika wosia sio uchuro
Wizara ya Katiba na Sheria imeiagiza Wakala wa Usajili, Ufilisia na Udhamini (RITA) kukusanya maoni kwa wananchi ya nini kinachosababisha wananchi kuw [...]

