Tag: habari za kimataifa

1 103 104 105 106 107 164 1050 / 1634 POSTS
Unaweza kutoka katika makundi kimyakimya

Unaweza kutoka katika makundi kimyakimya

WhatsApp inafanyia kazi kipengele kipya ambacho kitakuwezesha kuondoka kwenye vikundi kimyakimya kwani mara nyingi si vizuri unapoachana na gumzo la k [...]
Maeneo 7 Tanzania kuonesha fainali za UEFA

Maeneo 7 Tanzania kuonesha fainali za UEFA

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amesema mechi ya fainali ya 67 ya Ligi ya Mabingwa Ulaya(Uefa Champions League Fainal 2022) [...]
Magazeti ya leo Mei 18,2022

Magazeti ya leo Mei 18,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Mei 18,2022. [...]
Balozi Mulamula ateta na wafanyabiashara wa Switzerland

Balozi Mulamula ateta na wafanyabiashara wa Switzerland

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) amekutana kwa mazungumzo na Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka N [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Yoube Mei 17,2022

Tazama hapa video zinazo-trend Yoube Mei 17,2022

Hizi hapa video zinazofanya vizuri kwenye mtandao wa Yoube Tanzania leo Jumanne Mei 17,2022. Husikubali kupitwa. https://www.youtube.com/watch?v=LJ [...]
Faida 4 za wanandao kulala uchi

Faida 4 za wanandao kulala uchi

Kulala uchi huhimiza watu kuwa wa karibu zaidi kihisia na wazi kati yao. Zifuatazo ni sababu nne kwa nini unapaswa kuzingatia kulala uchi na mwenzi [...]
Sauti Sol kukishtaki Chama cha Azimio

Sauti Sol kukishtaki Chama cha Azimio

Bendi maarufu ya Afropop Sauti Sol imetishia kuchukua hatua za kisheria dhidi ya chama cha muungano cha Azimio La Umoja kwa madai ya ukiukaji wa hakim [...]
CHADEMA yawasilisha hoja 6 Mahakama Kuu

CHADEMA yawasilisha hoja 6 Mahakama Kuu

Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam kuamua wabunge 19 wa CHADEMA waliovuliwa uanachama kuendelea kuwapo bungeni hadi maombi ya z [...]
Waziri angongwa na bodaboda

Waziri angongwa na bodaboda

Ofisa wa ngazi ya juu katika Serikali na chama cha upinzani cha Sudan People’s Liberation Movement in Opposition(SPLM-IO), Lual Lual Gau, amejeruhiwa [...]
Waziri: Aliyenajisi mtoto na kukimbia naye atafutwe

Waziri: Aliyenajisi mtoto na kukimbia naye atafutwe

Baada ya kufika jijini Arusha kwenye ziara fupi ya uhamasishaji wa Siku ya Kimataifa ya Familia, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Mak [...]
1 103 104 105 106 107 164 1050 / 1634 POSTS
error: Content is protected !!