Tag: habari za kimataifa
Sh. bilioni 241 kutekeleza vipaumbele vya Wizara ya Mambo ya Nje
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba ametaja vipaumbele vitano vya wizara hiyo katika Mwaka wa Fedha 2024/25.
[...]
Fahamu sababu za kuongezeka kwa Mfumuko wa Bei wa Taifa
Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Aprili, 2024 umeongezeka kidogo hadi asilimia 3.1 kutoka asilimia 3.0 kwa mwaka ulioishia mwezi Mach [...]
Rais Samia: Wakati kuwekeza Tanzania ni sasa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ipo tayari kwa uwekezaji na hivyo wawekezaji na wafanyabiashar [...]
Rais Samia aagiza mkakati wa nishati safi kutafsiriwa kwa lugha mbili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan ameiagiza wizara ya nishati kuhakikisha Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi [...]
Marufuku kuvuta sigara hadharani
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema tayari bunge limepitisha Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku ijulikanayo kama “The Tobacco Products (Regulation) Act [...]
Daraja la Tanzanite kufungwa kila Jumamosi
Barabara inayoanzia Taasisi ya Saratani Ocean Road kupitia Hospitali ya Aga Khan hadi kwenye daraja la Tanzanite itafungwa kila siku ya Jumamosi kuanz [...]
Rais Samia: tudumishe muungani wetu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amehutubutia taifa kuhusu miaka 60 ya Muungano huku akisisitiza katika kudumish [...]
Rais Samia awakaribisha Waturuki kuwekeza nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji wa Uturuki kuwekeza nchini Tanzani [...]
Rais Samia: Nawatakia kheri ya Sikukuu ya Eid al- Fitr
RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania wote kuendelee kudumisha haki, umoja ,amani na mshikamano kwenye Sikukuu ya Eid al -Fitr.
Kupitia kuras [...]
Sh. milioni 150 zatengwa kujenga barabara korofi Iringa
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Zainabu Katimba amesema serikali imeshaanza kujenga barabara korofi ya Ilula Image na Ibumu mkoani Iringa .
Ak [...]