Tag: habari za kimataifa

1 125 126 127 128 129 164 1270 / 1636 POSTS
Afa maji akikimbia polisi

Afa maji akikimbia polisi

Hassani Mussa M’buyu (27) mkazi wa mtaa wa Sabasaba, Kata ya Jamhuri, Manispaa ya Lindi amekufa maji, baada ya kujitosa baharini kwa madai ya kukimbia [...]
Zijue njia 7 za kuokoa mafuta

Zijue njia 7 za kuokoa mafuta

Baada ya bei za mafuta kupanda nchini, watumiaji wengi wa vyombo vya moto wameanza kujiuliza ni namna gani wanaweza kumudu gharama hizo mpya. Click [...]
Ushauri wa Jahazi kwa Harmonize

Ushauri wa Jahazi kwa Harmonize

Watangazaji wa kipindi cha Jahazi kinachorushwa kwenye redio ya Clouds, Mussa Hussein, George Bantu na Captain Gardner Habash wamempa ushauri msanii H [...]
Wahifadhi wabaka wananchi waishio mbugani

Wahifadhi wabaka wananchi waishio mbugani

Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro imekuwa hema kwa familia nyingi za jamii ya kimasai ambao huishi humo pamoja na wanyama hao kama ilivyo kwa Wabatwa kat [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Aprili 6,2022

Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Aprili 6,2022

Hizi hapa video zinazofanya vizuri Youtube Tanzania leo Aprili 6,2022. Husikubali kuiptwa. https://www.youtube.com/watch?v=IokCG2J-_5Q&list=PLq [...]
Waliopandikizwa  mimba wajifungua

Waliopandikizwa mimba wajifungua

Wanawake watano kati ya tisa waliopandikizwa mimba kwa njia ya 'IVF' na 'artificial insemination'  jijini Arusha wajifungua salama. IVF ni njia ya [...]
Maelezo juu ya kupanda kwa bei za mafuta

Maelezo juu ya kupanda kwa bei za mafuta

Bei za mafuta duniani zimepanda hali ambayo imeathiri pia bei za mafuta hapa Tanzania.  Kupanda kwa bei za mafuta sio jambo geni, limewahi kutokea [...]
Majaliwa: bei zishuke

Majaliwa: bei zishuke

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasihi wazalishaji na wafanyabiashara wa bidhaa muhimu kutopandisha bei za vitu kiholela bila utaratibu na hatua kali k [...]
Harmonize, Diamond watofautiana

Harmonize, Diamond watofautiana

Msanii na mmiliki wa lebo ya Konde Gang, Rajabu Abdul maarufu kama Harmonize ametofautiana kimawazo na aliyewahi kuwa msimamizi wake kutoka lebo ya Wa [...]
JJ Mungai wafurahia madarasa ya Samia

JJ Mungai wafurahia madarasa ya Samia

Walimu, wazazi na wanafunzi wa Shule ya Sekondari JJ Mungai iliyopo halmashauri ya Mjini wa Mafinga wameeleza furaha yao kwa ujenzi wa madarasa uliofa [...]
1 125 126 127 128 129 164 1270 / 1636 POSTS
error: Content is protected !!