Tag: habari za kimataifa
Rais Samia afanya uteuzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi kama ifuatavyo:-
[...]
Moto Mlima Kilimanjaro
Moto ambao chanzo chake bado hakijajulikana, umezuka katika mlima Kilimanjaro, karibu na eneo la Karanga Camp lililopo urefu wa meta 3,963 kutoka [...]
Magazeti ya leo Oktoba 22,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Oktoba 22,2022.
[...]
Rais Samia: Msiijadili tu serikali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassana ametoa wito kwa vyama vya siasa kukaa na kujijadili namna vyama hivyo vinavyotenda [...]
Uzembe wa TICTS, hasara kwa taifa
Kampuni ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania katika bandari ya Dar es Salaam (TICTS) imesababishia taifa hasara kubwa baada ya kudondosha mako [...]
China haifungui kituo cha polisi Tanzania
Watanzania wametakiwa kupuuzia taarifa iliyotolewa na idhaa ya kiswahili ya Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) kuwa nchi ya China ina mpango wa [...]
Magazeti ya leo Oktoba 20,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Oktoba 20,2022.
[...]
Wamshukuru Rais Samia kwa kufanyiwa upasuaji
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, imefanya upasuaji rekebishi kwa mama Helena Hungoli na mtoto wake Safari Bidale wakazi wa mkoa wa Manyara ambao walim [...]
Wapata majisafi baada ya miaka 50
Wananchi wa kijiji cha Namatumu Kata ya Malika Halmashauri ya Mji Masasi mkoani Mtwara, wamesema Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA [...]
Zitto Kabwe ampongeza Rais Samia kwa kufanya kazi nzuri
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe amempa pongezi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kazi nzuri anayoifanya kwa kuwaungan [...]