Tag: habari za kimataifa
Fahamu kuhusu Homa ya Mgunda
Baada ya Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kutoa taarifa kuhusu ugonjwa wa Homa ya Mgunda (Leptospirosis), wizara hiyo imetoa tahadhari kwa wananchi na nji [...]
Magazeti ya leo Julai 19,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Julai 19,2022.
[...]
Fahamu jinsi Homa ya Mgunda inavyoambukizwa
Ugonjwa wa Homa ya Mgunda (Leptospirosis) huambukizwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu kupitia uchafuzi wa mazingira ikiwemo vyanzo vya maji kut [...]
Aua kwa panga kisa wivu wa mapenzi
Mkazi wa Kijiji cha Mgombani, SWilaya ya Monduli mkoani Arusha, Juma Ndaji (27), anashikiliwa na polisi wilayani humo kwa kosa la kumkata panga mfanya [...]
Ugonjwa usiojulikana Lindi unasababishwa na bweha
Wizara ya Afya kupitia kwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu imetanga uwepo wa mlipuko mpya wa ugonjwa wa Homa ya Mgunda unaosababisha wananchi kutoka damu [...]
Mradi wa umeme Rusumo wafika asilimia 95
Imeelezwa kuwa, kukamilika kwa mradi wa umeme wa Rusumo wa megawati 80 kutaimarisha hali ya upatikanaji umeme katika mikoa ya Kanda ya Ziwa ambapo kum [...]
Fahamu madhara ya kukaa kwenye kiti muda mrefu
Wafanyakazi wanaokaa kwenye viti muda mrefu ofisini, wapo hatarini kuvimba miguu kutokana na kubana mishipa ya damu.
Wanashauriwa kujenga tabia ya [...]
Majaliwa akagua daraja la mawe
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana Julai 17, 2022 amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa Daraja la mawe katika barabara ya Iguguno-Kikhonda-Kinampundu [...]
Epuka matumizi ya mate wakati wa kujamiiana
Wakati matumizi ya mate yakiwa maarufu kwa wengi wakati wa kujamiiana, hasa yanapotumika kama aina fulani ya kilainishi hasa ukeni na hivyo kuleta lad [...]
Waziri Ummy: Sio Ebola, Maburg wala Uviko-19
Wakati timu ya wataalamu kutoka nje ikitarajiwa kuanza uchunguzi kubaini ugonjwa usiojulikana Lindi, Wizara ya Afya imesema sampuli za vipimo vya maab [...]