Tag: nafasi za kazi
Falme za Kiarabu na Tanzania kuanza usambazaji wa mbolea kimkakati
Huenda uhaba wa mbolea unaowakumba wakulima wa Tanzania utapungua siku za hivi karibuni baada ya wawekezaji kuonyesha nia ya kuimarisha mfumo wa usamb [...]
Gesi asilia ya Mtwara kusambazwa malawi
Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Humphrey Polepole amesema mazungumzo kati ya Tanzania na Serikali ya Malawi ya Tanzania kuiuzia gesi asilia inayozal [...]
Ndege kubwa ya mizigo ATCL kuwasili nchini
Shirika la Ndege Tanzania(ATCL) limesema inatarajia kupokea Ndege nne kwa mwaka huu ambapo ndege kubwa ya mizigo itawasili nchini mwishoni mwa mwezi M [...]
Magazeti ya leo Februari 21,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Februari 21,2023.
[...]
14 wakamatwa kwa tuhuma za kupora katika ajali Tanga
Jeshi la Polisi, Mkoa wa Tanga limewakamata watu 14 ambao wanatuhumiwa kufanya uporaji katika ajali iliyohusisha vifo vya watu 20 na majeruhi 12 iliyo [...]
Magazeti ya leo Februari 9,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Februari 9,2023.
[...]
Rais Samia awalilia waliofariki Syria na Uturuki
Rais Samia Suluhu Hassan ameungana na viongozi mbalimbali duniani kuomboleza vifo vya zaidi ya watu 3,500 waliofariki dunia baada ya kutokea kwa tetem [...]
Serikali kugharamia msiba wa watu 17 Tanga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa maelekezo kuwa Serikali isimamie msiba wa Watu 17 waliofariki kwa ajali Tanga [...]
Waliondaki matusi wafutiwa matokeo
Baraza la Mitihani (NECTA) limefuta matokeo yote ya Watahiniwa wanne wa kidato cha nne mwaka 2022 walioandika lugha za matusi katika mitihani yao.
[...]

