Tag: nafasi za kazi

Serikali kufanya mabadiliko ya Sera yake
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kutokana na mabadiliko ya kiuchumi duniani, Serikali itafanya mapitio ya Sera yake ya mambo ya nje iliyodumu kwa miak [...]
Magazeti ya leo Novemba 19,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Novemba 19,2022.
[...]
Bei elekezi za gesi asilia kwa ajili ya magari
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) inakamilisha mchakato wa kuanza kutoa bei elekezi za gesi asilia kwa ajili ya matumizi ya magari.
Pi [...]
Ujerumani yaipatia Tanzania msaada wa Bil.209
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Ujerumani wameipata Tanzania msaada wa Shilingi bilioni 209,746,204,779.00 kwa ajili ya masua [...]
Magazeti ya leo Novemba 16,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Novemba 16,2022.
[...]
CHADEMA: Tumechoka mtu wetu kuwa mkimbizi
Chama cha Demokrasia (CHADEMA) mkoa wa Singida kimesema kimechoka kumwona Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu akiishi ughaibuni kama mkimbiz [...]
Helikopta kutua Mlima Kilimanjaro
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imesema imeridhishwa na miundombinu ya utalii ikiwemo viwanja vya kutua helikopta katika Hifad [...]
Watahiniwa 566,840 kidato cha nne kuanza mtihani kesho
Jumla ya watahiniwa 566,840 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kidato cha nne utakaoanza kesho Novemba 14, 2022 Tanzania Bara na Zanzibar.
Kaimu Mtend [...]
Magazeti ya leo Novemba 12,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Novemba 12,2022.
[...]
Royal Tour yajibu, watalii zaidi ya 1,000 waja na meli
Ikiwa imepita miaka miwili tangu janga la Uviko-19 litikise dunia na shughuli za utalii kuanza kurejea, jana Tanzania ilipokea meli kubwa ya watalii z [...]