Tag: Tozo

1 8 9 10 11 12 26 100 / 256 POSTS
Aliyesambaza taarifa za uongo kifo cha Mwakyembe adakwa

Aliyesambaza taarifa za uongo kifo cha Mwakyembe adakwa

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, linawashikilia watuhumiwa wawili kwa makosa ya kimtandao kufuatia msako unaoendelea. Taarifa iliyoto [...]
Pweza kufuatiliwa kieletroniki Kilwa

Pweza kufuatiliwa kieletroniki Kilwa

Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa inaanzisha mfumo maalumu wa kufuatilia biashara ya pweza kielektroniki kuanzia wanapovuliwa, kusafirishwa hadi wanapouz [...]
Watanzania 33,000 hufariki kila mwaka sababu ya moshi wa kupikia

Watanzania 33,000 hufariki kila mwaka sababu ya moshi wa kupikia

Wastani wa Watanzania 33,000 hufariki kila mwaka, kutokana na moshi wa kupikia. Waziri wa Nishati January Makamba alisema hayo jana jijini Dodoma, [...]
Rais Samia : Watanzania wekezeni Msumbiji

Rais Samia : Watanzania wekezeni Msumbiji

Rais Samia Suluhu amewataka Watanzania wanaoishi na kufanya biashara nchini Msumbiji kutumia fursa ya ushirikiano wa nchi hizo mbili kuwekeza kwa faid [...]
Ashikiliwa kwa kumuua mkewe baada ya kumuota mchawi

Ashikiliwa kwa kumuua mkewe baada ya kumuota mchawi

Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia mkazi wa Kijiji cha Inala, Ali Mkonongo kwa tuhuma za kumuua mke wake, Mariam Yusuph kwa kumpiga na kitu k [...]
Namba za simu za Wakuu wa Polisi Wilaya (OCDs)

Namba za simu za Wakuu wa Polisi Wilaya (OCDs)

Kama Mtanzania ni vyema ukawa na namba za simu hizi za wakuu wa polisi wilaya (OCDs) ili uweze kupata huduma sahihi kwa haraka. OCD CHAMWINO 65988 [...]
Daraja la Wami kuanza kutumika Septemba 30

Daraja la Wami kuanza kutumika Septemba 30

Daraja jipya la Wami lenye urefu wa mita 513.5 na barabara unganishi ya kilometa 3.8 litaanza kutumika Septemba 30, 2022. Akizungumza katika ziara [...]
Baada ya miaka 22 serikali yawalipa fidia

Baada ya miaka 22 serikali yawalipa fidia

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mtwara (MTUWASA), imewakabidhi fedha ya fidia wananchi wapatao 50, waliokuwa wanaidai mamlaka hiyo kutokana [...]
Wanaojaribu kujiua wasishtakiwe

Wanaojaribu kujiua wasishtakiwe

Madaktari wanaotibu magonjwa ya afya ya akili, wameiomba serikali kupitia upya sheria inayowafunga watu wanaofanya jaribio la kujiua ili wapatiwe tiba [...]
Serikali imelipa madai ya Sh. bilioni 954.04

Serikali imelipa madai ya Sh. bilioni 954.04

Serikali imelipa jumla ya Sh bilioni 954.04 ikiwa ni madai ya VAT sawa na asilimia 431.7 ya lengo la kulipa Sh bilioni 221.01 kwa mwaka 2021/22, Naibu [...]
1 8 9 10 11 12 26 100 / 256 POSTS
error: Content is protected !!