Tag: trending videos

1 36 37 38 39 40 123 380 / 1230 POSTS
Bashungwa asimamisha kazi watano Manyara

Bashungwa asimamisha kazi watano Manyara

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Innocent Bashungwa amewasimamisha kazi Maafisa watano Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara ili kupisha [...]
Mwamuzi pambano la Mandonga asimamishwa

Mwamuzi pambano la Mandonga asimamishwa

Mwamuzi Habibu Mohammed aliyechezesha pambano la Karim Mandonga na Salim Abeid amesimamishwa na Chama cha Waamuzi wa Ngumi nchini kwasababu ya kucheze [...]
Utaratibu wa kuomba Samia Scholarship

Utaratibu wa kuomba Samia Scholarship

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa maelekezo ya namna kuomba ufadhili wa Samia Scholarship kwa wale waliokidhi vigezo. [...]
Waziri Ummy: Bima ya Afya ni hiari siyo lazima

Waziri Ummy: Bima ya Afya ni hiari siyo lazima

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote ikipita itahakikisha wananchi wanapata huduma bila kikwazo lakini hakuna mtu ataka [...]
Kicheko kwa wakulima , soko la tumbaku lafunguka

Kicheko kwa wakulima , soko la tumbaku lafunguka

Huenda wakulima watakuwa na uhakika wa soko la tumbaku baada ya wanunuzi kuongeza kiasi watakachonunua mwaka ujao wa kilimo. Kampuni ya Japan Tobacco [...]
Japan kutimiza ahadi ya miradi minane Tanzania

Japan kutimiza ahadi ya miradi minane Tanzania

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Japan, Fumio Kishida na kuwasilisha salamu za pole kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan kutokan [...]
Aliyesambaza taarifa za uongo kifo cha Mwakyembe adakwa

Aliyesambaza taarifa za uongo kifo cha Mwakyembe adakwa

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, linawashikilia watuhumiwa wawili kwa makosa ya kimtandao kufuatia msako unaoendelea. Taarifa iliyoto [...]
Pweza kufuatiliwa kieletroniki Kilwa

Pweza kufuatiliwa kieletroniki Kilwa

Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa inaanzisha mfumo maalumu wa kufuatilia biashara ya pweza kielektroniki kuanzia wanapovuliwa, kusafirishwa hadi wanapouz [...]
Trilioni 2.78 kutekeleza miradi ya elimu nchini

Trilioni 2.78 kutekeleza miradi ya elimu nchini

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Innocent Bashungwa amesema Serikali itatumia kiasi cha shilingi trioni 2. 78 kw [...]
Serikali kuajiri walimu 42,697 mwaka 2022-23

Serikali kuajiri walimu 42,697 mwaka 2022-23

Huenda uhaba wa walimu wa masomo ya Sayansi na Hesabu ukapungua nchini Tanzania na kuongeza ufaulu wa wanafunzi katika masomo hayo mara baada ya Serik [...]
1 36 37 38 39 40 123 380 / 1230 POSTS
error: Content is protected !!