Tag: trending videos
Wachochezi bei ya umeme na Loliondo wasakwa
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema serikali imesema itawashitaki waliohamasisha wananchi wafanye vurugu Loliondo na wanaopotosha kuhusu h [...]
Mtanzania amtwanga Mjerumani kwa TKO
Bondia Mtanzania anayeishi nchini Sweden Awadhi Tamim amemtwanga Bondia Shkelqim Ademaj wa Ujerumani kwa TKO katika pambano la raundi 10 lililofanyika [...]
Nchi 10 za Afrika zenye shida ya upatikanaji wa umeme
Kabla ya kufunua orodha, ni muhimu kuzingatia mambo machache. Kwanza, bara la Afrika kwa sasa lina ufikivu mbaya zaidi wa umeme duniani. Na changamoto [...]
Justin Bieber apooza uso
Msanii kutoka nchini Canada, Justin Bieber ameweka video fupi Kwenye ukurasa wake wa Instagram akieleza wazi kwamba amesitisha show zake kutokana na u [...]
Magazeti ya leo Juni 11,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Juni 11,2022.
[...]
Ukweli kuhusu wakazi wa Ngorongoro
Serikali imesema wananchi wa maeneo ya Loliondo wapo salama ikibainisha kuwa “hakuna mapambano yoyote” kati ya polisi na wakazi hao wa kaskazini mwa [...]
Samia: wapeni raha wafanyabiashara
Rais Samia Suluhu amepiga marufuku wafanyabiashara kupewa ankara za kodi za miaka mitano hadi sita nyuma kwa kuwa hilo sio kosa lao bali ni la mamlaka [...]
Samia atoa milioni 500 kwa ajili ya maji
Rais Samia Suluhu anazidi kuzinufaisha mamlaka za maji baada ya kuagiza zipatiwe Sh milioni 500 kama mkopo kwa ajili ya kusaidia uunganishaji maji kwa [...]
Herrera apewa ubalozi Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla akimkabidhi cheti cha ubalozi wa Utalii wa Zanzibar kiungo wa timu ya [...]
Corona ipo
Wizara ya Afya nchini Tanzania imewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya Uviko-19 ikiwemo kupata chanjo kwa sababu ugon [...]