Tag: trending videos

1 69 70 71 72 73 123 710 / 1230 POSTS
Samia kutoa bilioni 100 kila mwezi

Samia kutoa bilioni 100 kila mwezi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema serikali itatoa ruzuku ya Sh bilioni 100 kila mwezi kwa ajili ya kukabiliana [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Juni 8,2022

Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Juni 8,2022

Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Jumatano Juni 8,2022. Husikubali kupitwa. https://www.youtube.com/watch?v [...]
Majaliwa awasha moto

Majaliwa awasha moto

Waziri Kuu Kassim Majaliwa ametoa siku tano kuanzia leo Juni 8, 2022 hadi Juni 12, 2022 Wizara ya Kilimo iwe imeondoa pikipiki zote wizarani hapo na k [...]
Nunua luku mapema

Nunua luku mapema

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema huduma ya kununua umeme kupitia Luku itakosekana kwa muda wa masaa mawili usiku kuamkia Alhamisi Juni 9 m [...]
Nafasi za kazi JamiiForums

Nafasi za kazi JamiiForums

JamiiForums is currently looking for volunteers in Content Management (Moderation) to work on the user-generated content on the platform aiming at hav [...]
Rais Samia na juhudi za kuondoa tatizo la maji nchini

Rais Samia na juhudi za kuondoa tatizo la maji nchini

Na Yohana Mangala, Dar es Salaam Methali moja ya kiswahili inasema ‘Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe’ ndivyo tunavyoweza kusema kwenye utendaj [...]
Magazeti ya leo Juni 7,2022

Magazeti ya leo Juni 7,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Juni 7,2022. [...]
Kiswahili ni silaha

Kiswahili ni silaha

Lugha ya Kiswahili ni silaha ya taifa letu, imekuwa ya kwanza kutoka Bara la Afrika kutambuliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Ut [...]
Mikoa 3 inayoongoza kwa kelele

Mikoa 3 inayoongoza kwa kelele

Baraza la Taifa la Hifadhi ya Mazingira (NEMC) imetaja mikoa mitatu inayoongoza kwa malalamiko ya kelele kuwa ni Dar es Salaam, Mwanza na Dodoma na ku [...]
Marufuku kusafirisha wanyamapori

Marufuku kusafirisha wanyamapori

Waziri wa Maliasi na Utalii Pindi Chana ameagiza kusitishwa mara moja kwa usafirishaji wa wanyamapori nje ya nchi kama ambavyo ilitangazwa juzi na Kam [...]
1 69 70 71 72 73 123 710 / 1230 POSTS
error: Content is protected !!