Tag: trending videos

1 7 8 9 10 11 123 90 / 1230 POSTS
Rais Samia asisitiza matumizi ya teknolojia kwa Jeshi la Polisi

Rais Samia asisitiza matumizi ya teknolojia kwa Jeshi la Polisi

Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi kuongeza kasi ya matumizi ya teknolojia katika utekelezaji wa majukumu yake ili kuongeza ufanisi ut [...]
Rais Samia : Mchengerwa ni bingwa wa mabadiliko

Rais Samia : Mchengerwa ni bingwa wa mabadiliko

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amempongeza Waziri mpya wa OR- TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa kwa kuleta mabadili [...]
Rais Samia: Wananchi toeni maoni Dira ya Maendeleo 2050

Rais Samia: Wananchi toeni maoni Dira ya Maendeleo 2050

Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kushiriki katika mchakato wa maandalizi ya Dira ya Maendeleo ya 2050 ili kupata dira jumuishi itakayokid [...]
Rais Samia awafuta kazi Mkuu wa Wilaya wa Mtwara na DED wake

Rais Samia awafuta kazi Mkuu wa Wilaya wa Mtwara na DED wake

Rais Samia Suluhu Hassan amewafuta kazi Mkuu wa Wilaya wa Mtwara Vijijini, Hanafi Msabaha na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Tatu Issike kwa alichokie [...]
Rais Samia Suluhu apongezwa kushiriki Mkutano wa 15 wa BRICS

Rais Samia Suluhu apongezwa kushiriki Mkutano wa 15 wa BRICS

Wachambuzi wa kiuchumi na kidiplomasia wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhudhuria Mkutano Mkuu wa 15 wa BRICS uliofanyika Johannesburg, Afri [...]
Rais Samia asisitiza uwepo wa mfumo rafiki wa kimataifa wa fedha

Rais Samia asisitiza uwepo wa mfumo rafiki wa kimataifa wa fedha

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito wa kutafuta namna ya kukabiliana na changamoto ya mfumo wa kimataifa wa kifedha, unaozuia upatikanaji wa fedha za [...]
Elimu ya msingi mwisho darasa la sita

Elimu ya msingi mwisho darasa la sita

Taasisi ya Elimu Tanzania imetoa mtaala wa elimu ya msingi kuanzia darasa la kwanza hadi la sita 2023. Muundo wa mtaala huo umebadilika na sasa eli [...]
MAHAKAMA: Mkataba wa uwekezaji bandarini ni halali

MAHAKAMA: Mkataba wa uwekezaji bandarini ni halali

Na Mwandishi Wetu MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imeamua kwamba mkataba wa uwekezaji (IGA) kwenye Bandari za Tanzania ulioingiwa baina ya Serikali ya Tan [...]
Bei ya mafuta Zanzibar yapaa kwa 10%

Bei ya mafuta Zanzibar yapaa kwa 10%

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Majina Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza ongezeko la bei ya mafuta ya petroli kwa asilimia 10 visiwani Zanzibar kuto [...]
Chama cha Waagizaji na Wasambazaji mafuta chakanusha upotoshaji unaosambaa mitandaoni

Chama cha Waagizaji na Wasambazaji mafuta chakanusha upotoshaji unaosambaa mitandaoni

Baada ya kuwepo kwa taarifa za kukosekana kwa mafuta ya dizeli na petroli nchini, Chama Cha Waagizaji na Wasambazaji wa Mafuta Tanzania ( TAOMAC) kime [...]
1 7 8 9 10 11 123 90 / 1230 POSTS
error: Content is protected !!