Chama cha Waagizaji na Wasambazaji mafuta chakanusha upotoshaji unaosambaa mitandaoni

HomeKitaifa

Chama cha Waagizaji na Wasambazaji mafuta chakanusha upotoshaji unaosambaa mitandaoni

Baada ya kuwepo kwa taarifa za kukosekana kwa mafuta ya dizeli na petroli nchini, Chama Cha Waagizaji na Wasambazaji wa Mafuta Tanzania ( TAOMAC) kimekanusha taarifa hizo na kusema kwamba sio za kweli.

error: Content is protected !!