Takeoff afariki dunia

HomeKimataifa

Takeoff afariki dunia

Chanzo cha kuaminika cha habari za burudani toka Marekani, Hollywood Unlocked, umeripoti usiku huu (Kwa saa za Marekani) marapa wa kundi la Migos ambao ni Quavo na Takeoff wameshambuliwa vibaya kwa risasi mjini Houston huku Takeoff akiripotiwa tayari kupoteza maisha.

Mtandao huo H.U umeeleza kwamba wanapicha za uthibitisho za kifo hicho lakini hawawezi wakazishare mitandaoni. Marehemu rapa TakeOff amefariki akiwa na umri wa miaka 28.

error: Content is protected !!