Ubalozi wa Marekani kutoa tiketi za bure kuangalia uzinduzi wa Black Panther II

HomeBurudani

Ubalozi wa Marekani kutoa tiketi za bure kuangalia uzinduzi wa Black Panther II

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa taarifa kwamba utatoa tiketi za bure kuhudhuria uzinduzi wa filamu ya “Black Panther” utakaofanyika Century Cinema, Aura Mall Dar, tarehe 10 mwezi Novemba 2022.

Taarifa hiyo imetolewa kwenye ukurusa wa mtandao wa twitter wa ubalozi huo.

error: Content is protected !!