Uber yasitisha huduma Tanzania

HomeKitaifa

Uber yasitisha huduma Tanzania

Kampuni inayotoa huduma ya usafiri kwa njia ya mtandao, Uber imetoa taarifa ya kusitisha huduma zake za UberX, UberXL na UberX Saver nchini Tanzania, uamuzi uliofanywa baada ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kuweka kanuni ambazo ni changamoto kubwa kwa mifumo kama Uber kuendesha biashara yake.

Taarifa kamili kutoka kampuni hiyo inasema;

 

error: Content is protected !!