Urusi yaridhia kusaidia kuondoa wanafunzi wa Kitanzania waliokuwa wamekwama katika mji wa Sumy Nchini Ukraine kuondoka nchini humo kupitia mpaka wa Ukraine na Urusi.